Matokeo ya mechi za VPL leo, Msimamo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Oct 2020
Matokeo ya mechi za VPL leo, Msimamo

Coastal Union imezinduka ikiwashushia kipigo cha mabao 3-0 Biashara United katika mchezo uliopigwa uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga

Baada ya kumpoteza kocha wake Zuberi Katwila aliyetimkia Ihefu Fc, Mtibwa Sugar imejitutumua nyumbani ikifanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo Fc ambayo imetopeza mchezo wa nne kati ya saba waliyocheza msimu huu

Vijana wa kocha Mwinyi Zahera, Gwambina Fc wamein'gan'gania Polisi Tanzania wakifanikiwa kuondoka na matokeo ya sare ya bao 1-1 mkoani Arusha

Polisi Tanzania inatarajiwa kucheza na Yanga kwenye mchezo unaofuata ambao utapigwa Alhamisi, Oktoba 22 kwenye uwanja wa Uhuru

Aidha mchezo uliopigwa mapema, uliishuhudia JKT Tanzania ikiambulia matokeo ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons mkoani Dodoma

Mpaka sasa msimamo wa ligi uko hivi;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’