Mabadiliko yamefanyika ambapo ule mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Polisi Tanzania ambao ulikuwa upigwe uwanja wa Mkapa Alhamisi, Oktoba 22, sasa utapigwa uwanja wa Uhuru
Aidha muda wa mchezo huo sasa itakuwa ni saa kumi jioni badala ya saa 1 usiku
Uongozi wa Yanga umethibitisha juu ya mabadiliko hayo ya ratiba
Aidha baada ya mchezo huo, Yanga itaelekea jijini Mwanza ambapo Oktoba 25 itashuka uwanja wa CCM Kirumba kuikabili KMC
ADVERTISE HERE