Majira ya saa tano asubuhi, uongozi wa klabu ya Yanga utazungumza na Wanahabari. Mkutano huo utarushwa mbashara na Azam Tv na kurasa za mitandao ya kijamii za Yanga
Mkutano huu ni maalum kwa ajili ya utambulisho wa kocha Cedric Kaze

ADVERTISE HERE