Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze tayari ameondoka nchini Canada kuja Tanzania kujiunga na mabingwa wa kihistoria
Taarifa iliyothibitishwa na klabu ya Yanga, imebainisha kuwa Kaze anatua na kujiunga na Wananchi leo hii
Pengine kuanzia kesho Ijumaa, ataanza majukumu yake rasmi
Hatimaye mwamba anawasili, ameshafanya tathmini ya kutosha kuhusu kikosi chake pamoja na ligi kwa ujumla
Baada ya kumpata mtu waliyemuhitaji sana, sasa Yanga ndio inaanza ligi...!
ADVERTISE HERE