Namna bora ya kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, ni kuwa mzalendo, na kushiriki katika kinyan'ganyiro cha uchaguzi Mkuu Oktoba 28
Tujitokeze kwa wingi siku ya uchaguzi, tumuenzi Baba wa Taifa kwa vitendo
Twende tukapige kura kuwachagua viongozi watakaotuongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano
ADVERTISE HERE