Msimu mmoja nyuma wakati Mwinyi Zahera akiwa mkufunzi wa Yanga ilitungwa Sheria ya mavazi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
Mcongomani huyo akawa kocha wa kwanza na pekee kukumbana na adhabu
Inashangaza sana kuona sheria ile sasa haifanyi kazi tena baada ya Zahera kuondoka Yanga

La kusikitisha zaidi ni yeye peke yake aliyeadhibiwa kwa sheria hiyo
Haya mambo yanafikirisha sana, kwani ni kama sheria ilitungwa kwa ajili ya Zahera tu
ADVERTISE HERE