Ngoma amerejea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Nov 2017
Ngoma amerejea
Baada ya sintofahamu ya wiki kadhaa hatimaye mshambuliaji 'mtukutu' wa Yanga Donald Ngoma amarejea jijini Dar es salaam.

Ngoma amereja Dar jana akitokea kwao Zimbabwe akidaiwa kuondoka 'kimyakimya' bila kuutaarifu uongozi wa Yanga.

Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa alieleza kusikitishwa na tukio hilo na kusisitiza mshambuliaji huyo akakumbana na adhabu kubwa kama utetezi wake hautauridhisha uongozi.

Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema uongozi utatoa taarifa ya nini kimeafikiwa juu ya hatma ya mshambuliaji huyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
3h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’