Kiwango cha juu kilichoonyeshwa na kiungo mshambuliaji wa Burundi Said Ntibazonkiza kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Stars jana, kimempa ulaji baada ya GSM kufanikiwa kuinasa saini yake kuwatumikia Yanga, mabingwa wa kihistoria
Ntibazonkiza ndiye aliyefunga bao pekee la Burundi kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Mkapa jana
Mwamba huyu ametua Yanga akiwa mchezaji huru, usajili wake haukuhitaji dirisha la usajili
Karibu Jangwani Ntibazonkiza


ADVERTISE HERE