Oktoba imeleta duniani mastaa kadhaa wa Yanga. Farouk Shikhalo naye leo anaadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Shikhalo yuko kwenye msimu wake wa pili tangu ajiunge na mabingwa hao wa kihistoria akitokea Bandari Fc ya kule kwao Kenya
Siku hii ikawe jema na yenye furaha kwake
Happy Birthday Shikhalo..!
ADVERTISE HERE