Leo watu wawili muhimu sana ndani ya uongozi wa Yanga wanasherehekea kumbukumbu ya siku zao za kuzaliwa
Afisa Mhamasishaji na Msemaji Antonio Nugaz na mtaalam wa IT ambaye pia ni Afisa Masoko Dismas Ten
Ni rahisi kabisa kusema Ten ndiye aliyeiingiza Yanga kwenye ulimwengu wa kidigitali
Kwa sasa Yanga ndio klabu yenye mvuto zaidi kwenye upande wa kitengo cha Habari na Mawasiliano
Klabu ina App yake, ina kipindi bora cha TV na hata aina ya utolewaji wake wa taarifa kidigitali ni bora zaidi kuliko wengine
Ten ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na baadae Kaimu Katibu Mkuu, ameshiriki kikamilifu katika kuleta mapinduzi haya
Kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa
Happy Birthday Dismas Ten..!
ADVERTISE HERE