Farid Mussa alimkosea nini Krmpotic?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2020
Farid Mussa alimkosea nini Krmpotic?

Unaweza kuelewa kwa nini uongozi wa Yanga kuchukua hatua za haraka kumtimua aliyekuwa kocha wa timu hiyo Zlatko Krmpotic kwani katika siku 37 alizodumu Yanga hakufahamu aina ya wachezaji aliokuwa nao

Farid Mussa ni mchezaji ambaye mashabiki walikuwa wakipiga kelele sana apewe nafasi lakini Krmpotic ni kama aliweka pamba masikioni

Mussa ni aina ya wachezaji ambao wanaweza kuinufaisha timu katika kushambulia

Jana kocha msaidizi Juma Mwambusi alimtumia Farid kwa dakika zote 90 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mwadui Fc

Alitengeneza moja ya nafasi muhimu sana ambayo Wazir Junior atajilaumu kwa kukosa bao la wazi kabisa

Yanga ina wachezaji wazuri wa pembeni, Farid, Tuisila Kisinda, Nchimbi na hata Juma Mahadhi taratibu anaonekana kuanza kurejea katika makali yake baada ya kukaa nje kwa miaka miwili

Mchezo wa jana dhidi ya Mwadui, ndio mchezo wa kwanza Farid anacheza dakika zote tisini

Ni mchezaji ambaye angekuwa ameimarika zaidi kama angekuwa akicheza tangu msimu ulipoanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’