Licha ya kufutwa kazi na uongozi wa Yanga mwishoni mwa wiki iliyopita, Zlatko Krmpotic alikuwa miongoni mwa makocha waliowania tuzo ya kocha bora wa VPL Septemba
Mkufunzi wa Azam Fc Aristica Cioaba ametajwa kuwa kocha bora wa VPL kwa mwezi Septemba
Cioaba alikuwa akiwania tuzo hiyo sambamba na Krmpotic na Sven Vandenbroeck wa Simba
Aidha kwa upande wa mchezaji bora wa VPL Septemba, tuzo imeenda kwa mshambuliaji wa Azam Fc, Prince Dube
ADVERTISE HERE