Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeanza mazoezi kuelekea mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Burundi
Mchezo huo utapigwa Oktoba 11 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa
Feisal Salum, Metacha Mnata, Bakari Mwamnyeto na Ditram Nchimbi ni miongoni mwa wachezaji wa Stars walioshiriki mazoezi yanayofanyika uwanja wa Benjamin Mkapa


Yanga imetoa nyota wanne kwenye kikosi cha kocha Etienne Ndayiragije
ADVERTISE HERE