Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Rais wa Awamu ya Nne Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dk Jakaya Mrisho Kikwete
Mzee Kikwete anafahamika ni Mwanayanga kwelikweli na ameshiriki kwenye matukio yote muhimu ya kuirudisha Yanga mahali pake
Tumtakie kila la kheri katika siku hii muhimu akisherehekea mwaka wa 70 tangu alipozaliwa
Happy Birthday Mzee Kikwete..!
ADVERTISE HERE