Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetambulisha jezi mpya za timu ya Taifa ambazo zitaanza kutumika wiki ijayo kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Burundi
Jezi ya nyumbani (BLUE), jezi ya ugenini (NJANO) na jezi ya dharura (NYEUSI)
ADVERTISE HERE