Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinatarajiwa kuingia kambini leo kujiandaa na mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Burundi utakaopigwa Oktoba 11
Nyota wanne wa Yanga Metacha Mnata, Feisal Salum, Bakari Mwamnyeto na Ditram Nchimbi ni miongoni mwa wachezaji walioitwa kwenye kikosi hicho

ADVERTISE HERE