Mashabiki wa Yanga wanaweza kumpigia kura mchezaji anayestahili kupewa tuzo ya nyota wa mchezo dhidi ya Coastal Union ambao ulipigwa jana uwanjani wa Benjamin Mkapa na Yanga kuondoka na ushindi wa mabao 3-0
Walioteuliwa kuwania tuzo hiyo ni Mukoko Tomombe, Haruna Niyonzima na Carlinhos
Kura zinahesabiwa kupitia ukurasa wa Yanga wa mtandao wa Twitter (yangasc1935)
ADVERTISE HERE