Kaze anaweza kutua

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Oct 2020
Kaze anaweza kutua

Kabla ya ujio wa kocha Zlatko Krmpotic uongozi wa klabu ya Yanga ulifikia makubaliano na kocha raia wa Burundi Cedric Kaze ambaye alipewa mkataba wa miaka miwili

Hata hivyo Kaze aliyekuwa anafundisha Academy ya Fc Barcelona kule Canada, alishindwa kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria baada ya mkewe kuugua na kuhitaji afanyiwe upasuaji

Kaze aliomba apewe wiki tatu kumaliza changamoto hiyo hivyo GSM pamoja na uongozi wa Yanga waliamua kusaka kocha mwingine kwani kama wangekubali kusubiri muda huo, wangeanza msimu bila ya kuwa na kocha

Sasa Kaze yuko huru kujiunga na Yanga baada ya Krmpotic kutimuliwa usiku wa kuamkia leo

Mwamba huyo ndiye chaguo la kwanza la wadhamini GSM

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’