Jana baada ya mchezo dhidi ya Coastal Union, uongozi wa Yanga ulitangaza kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha mkuu Zlatko Krnpotic
Uamuzi huo ilifikiwa baada ya kutoridhishwa na uwezo wa kocha huyo wa zamani wa Zesco United
Krmpotic ameitumikia Yanga kwa mezi mmoja tu
Kinachosubiriwa sasa ni kutangazwa kwa jina la kocha anayekuja kuchukua nafasi yake
Pengine hapa Yanga inapaswa kuongeza umakini ili kuhakikisha inampata Mwalimu bora zaidi ili kuepuka hii fukuza fukuza ya makocha ndani ya msimu kwani inaweza kuathiri mwenendo wa timu
ADVERTISE HERE