Huu ni ujumbe wao kutoka kwa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Simon Patrick
"Kwa wale wataalam wa mchezo wa draft, ukiona mtu kakupa king ule kirahisi ogopa sana, kumbuka ka msemo ka wenzetu kwamba βthere is no such thing as a free lunchβ. Ili mchezo uendelee lazima ule king kwanza"
Aidha, Simon amewataka mashabiki wajitokeze kwa wingi uwanja wa Mkapa leo kuiunga mkono timu yao
"Niwaombe wananchi tujitokeze kwa wingi uwanja wa Mkapa leo jioni tukaishangilie timu yetu"
ADVERTISE HERE