Baada ya kuanzisha utaratibu wa kutoa tuzo ya mchezaji bora wa kila mchezo, Yanga imekuja na utaratibu mwingine ambao mashabiki wanamchagua mchezaji bora wa kila mwezi
Kwa mwezi wa tisa, walioteuliwa kuwania tuzo hiyo ni Michael Sarpong, Carlinhos, Mukoko Tomombe na Lamine Moro
Zoezi linaendeshwa kupitia ukurasa rasmi wa Yanga wa mtandao wa Twitter yangasc1935
ADVERTISE HERE