Mukoko ni zaidi ya kiungo mkabaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Oct 2020
Mukoko ni zaidi ya kiungo mkabaji

Alisajiliwa na Yanga mahsusi kuchukua nafasi ya Papy Tshishimbi eneo la kiungo cha ukabaji, lakini ni wazi Mcongomani Mukoko Tomombe yeye ni zaidi ya kiungo mkabaji

Mukoko ameonyesha uwezo mkubwa wa kupachika mabao na sasa ndiye kinara wa kupachika mabao kwenye kikosi cha Yanga akiwa amefunga mabao manne

Mukoko amefunga bao moja kwenye ligi dhidi ya Kagera Sugar lakini amefunga mabao matatu katika mechi mbili za kirafiki

Aliwafunga Mlandege Fc na jana akawafunga KMKM mabao mawili

Katika mechi mbili zilizopita, benchi la ufundi la Yanga lilimsogeza juu aongeze mashambulizi wakati Fei Toto na Zawadi Mauya wakibaki chini

Wakati safu ya ushambuliaji ya Yanga ikiwa bado haijakaa sawa, uwepo wa wachezaji kama Mukoko umekuwa na mafanikio kwa kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria

Mukoko, Lamine Moro, Waziri Jr na Michael Sarpong ndio wafungaji wa mabao tisa ya Yanga yaliyofungwa mpaka sasa katika mechi zote

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’