Uongozi wa Yanga umesisitiza kuwa hauna taarifa zaidi ya mshambuliaji wake Donald Ngoma licha ya jitihada za kumtaka arejee klabuni.
Ngoma ni miongoni mwa wachezaji 28 walioitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Zimbabwe kinachotarajiwa kushiriki michuano ya Chalenji inayoanza wiki ijayo nchini Kenya.
Hayuko klabuni kwa zaidi ya wiki sita akiwa ameondoka klabuni bila ya kupewa ruhusa na uongozi.
Tayari tukio hilo limemchukiza kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina ambaye sasa amenawa mikono kuhusu mchezaji huyo.
Lwandamina ameutaka uongozi kuhakikisha unasaka mchezaji mwingine atakayekuwa na nidhamu na atakayeweza kuisaidia timu.
Tukio hili la Ngoma halina tofauti na utapeli.
Amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili mwezi Julai mwaka huu na ni miongoni mwa wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa ndani ya kikosi cha Yanga.

ADVERTISE HERE