Kikosi cha KMKM tayari kimewasili jijini Dar es salaam kuelekea mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga ambao utapigwa leo Jumatano, saa moja usiku kwenye uwanja wa Azam Complex
Viingilio vya mchezo huo Mzunguuko ni Tsh 5,000/- na VIP ni Tsh 10,000/-
Huu ni mchezo wa 'kutest mitambo' kwa vikosi vya timu zote mbili kuelekea michezo ya ligi kuu mwishoni mwa wiki
Kocha Mkuu wa Yanga Zlatko Krmpotic anahitaji sana mechi hizi ili kukiimarisha kikosi chake ambacho kimesheheni nyota wengi wapya
ADVERTISE HERE