Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa taarifa kuwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inatarajiwa kushuka dimbani Oktoba11 kuchuana na Burundi katika mchezo wa KImataifa wa kirafiki ambao uko ndani ya kalenda ya FIFA
Kocha Mkuu wa Stars Etienne Ndayiragije anatarajiwa kutangaza kikosi chake Oktoba 02

Ni wazi mechi za ligi kuu zilizopaswa kupigwa wiki ya pili ya mwezi Oktoba zitaahisrishwa kupisha mchezo huo
Oktoba 11 Yanga ilipaswa kucheza na Polisi Tanzania ndani ya uwanja wa Benjamin Mkapa
Β
Β
ADVERTISE HERE