Yanga kupiga mechi nne Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Sep 2020
Yanga kupiga mechi nne Dar

Baada ya kumaliza mechi zake mbili za mikoani kibabe kwa ushindi 100%, kikosi cha Yanga kinarejea jijini Dar es salaam ambako watacheza mechi nne mfululizo katika dimba la Mkapa

Mchezo wa kwanza utapigwa Oktoba 03 dhidi ya Coastal Union kisha kufuatiwa na mchezo dhidi ya Polisi Tanzania, Oktoba 11

Dabi ya kwanza msimu huu dhidi ya Simba itapigwa Oktoba 11 kabla ya kukamilisha ratiba ya Oktoba kwa kuumana na KMC Oktoba 25

Yanga itauanza mwezi Novemba mkoani Mara wakiifuata Biashara United uwanja wa Karume

Mechi nne zinazofuata ni muhimu kwa mabingwa hao wa kihistoria kwani kama watashinda zote watajihakikishia kuongoza mbio za kuwania ubingwa dhidi ya watani zao Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
55m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’