Mabosi Yanga kukutana Morogoro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Sep 2020
Mabosi Yanga kukutana Morogoro

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindi Msolla leo anatarajiwa kuongoza kikao cha Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema kikao hicho ni cha kawaida kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali muhimu kwa ajili ya maendeleo ya klabu ya Yanga

Kikao hicho kinafanyika Hoteli ilipoweka kambi Yanga kuelekea mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, Cate Hotel

Viongozi wote waandamizi wa Kamati ya Utendaji Yanga wako mkoani Morogoro kuhudhuria kikao hicho na siku ya kesho watakuwepo uwanja wa Jamhuri kuongeza hamasa kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
36m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’