Kikosi cha Yanga kiliwasili mapema leo mkoani Morogoro tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa keshokutwa Jumapili
Jioni Yanga ikaanza maandalizi yake katika uwanja wa Jamhuri ambao utatumika katika mchezo huo




ADVERTISE HERE