Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Morogoro tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa keshokutwa Jumapili ndani ya dimba la Jamhuri
Mabingwa hao wa kihistoria wanatarajiwa kuanza maandalizi yao leo hapo mkoani Morogoro kujiweka sawa



ADVERTISE HERE