Baada ya kuwa nje kwa takribani wiki 12, kiungo wa Yanga Mapinduzi Balama anasubiri kufanyiwa vipimo vya mwisho kabla ya kuruhusiwa aanze mazoezi
Balama amekamilisha hatua zote za matibabu na sasa anasubiri ruhusa ya madaktari
Nyota huyo alipata majeraha makubwa ya kifundo cha mguu mwishoni mwa msimu uliopita
Atakaporejea, Balama atahitaji wiki kadhaa za kujiimarisha kabla ya kuanza kuonekana uwanjani
ADVERTISE HERE