Kuelekea mchezo wa ligi kuu kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumapili ijayo, wapenzi wanachama na mashabiki wa Yanga mkoani Morogoro wamejitole kukarabati 'pitch' sehemu ya kuchezea ya uwanja wa Jamhuri
Wanayanga wanahitaji kuona burudani kutoka kwa timu yao hivyo wameona isiwe taabu..!
Zoezi la kumwagilia maji nyasi za uwanja huo linaendelea, matarajio ya wengi mpaka kufikia siku ya Jumapili kutakuwa na mabadiliko
ADVERTISE HERE