Wadhamini na Wasambazi wa jezi rasmi za klabu ya Yanga, GSM wamesisitiza kuwa bei elekezi ya jezi ni Tsh 35,000/-
Hivi karibuni kumejitokeza wafanyabishara ambao wanalangua jezi za klabu ya Yanga kwa bei ya mpaka Tsh 100,000/-
Aidha kwa jijini Dar es salaam, Wakala rasmi wa jezi hizo ni duka la Sandaland The Only One linalopatikana mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni
Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said amesema wanatarajia kupokea shehena nyingine ya jezi karibuni, taarifa zaidi zitatolewa karibuni

ADVERTISE HERE