Yanga imefanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo uliokuwa na ushindani mkali
Bao pekee la Yanga liliwekwa kambani na kiungo Mukoko Tonombe
Haukuwa mchezo mzuri sana kwa Yanga, lakini muhimu kilichohitajika ni alama tatu ambazo zimepatikana
Kocha Zlatko Krmpotic bado ana kazi ya kufanya kuhakikisha timu yake inapata muungano mapema
Baada ya mchezo huo, mchezo unaofuata ni dhidi ya Mtibwa Sugar mkoani Morogoro
ADVERTISE HERE