Kikosi cha Yanga kimewasili mapema leo wilayani Bukoba mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa Jumamosi katika uwanja wa Kaitaba
Mashabiki wa Yanga wamejitokeza kwa wingi kuwalaki mabingwa hao wa kihistoria
ADVERTISE HERE