Yanga bado 'wanatrend' na uzi wao wa msimu huu ambao waliutambulisha wiki iliyopita
Unaambiwa nakala zaidi ya 8,000 ziliuzwa katika kipindi cha siku tatu tu
Achana na uzi huo rasmi, tuangalie uzi toleo la tatu ambao wanautumia wakati wakipasha misuli kabla ya mechi
Uzi huu nao GSM wanaweza kuuingiza sokoni kwani una viwango vya juu sana
Hii jezi Yanga wanaweza kuitumia hata kwenye baadhi ya michezo yao hasa kombe la FA (ASFC)





ADVERTISE HERE