Mcongo asaini miaka miwili Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Nov 2017
Mcongo asaini miaka miwili Yanga
Mlinzi wa Kati Fiston Kayembe jana amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga.

Kayembe amekuwa kwenye kikosi cha Yanga kwa miezi kadhaa na alifuzu majaribio yake.

Kusajiliwa kwake kunaimarisha zaidi safu ya ulinzi ya Yanga ambayo sasa itakuwa na wachezaji watano. Wengine ni Kelvin Yondani, Nadir Haroub, Andrew Vicent na Abdallah Shaibu 'Ninja'

Kabla ya kutua Yanga Kayembe alikuwa akichezea klabu ya Balende Fc ya huko DRC.

Mchezaji huyo alipendekezwa na kiungo Mcongomani Papi Kabamba Tshishimbi
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
46m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’