Jezi Yanga zagombewa kama njugu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Sep 2020
Jezi Yanga zagombewa kama njugu

Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said amesema shehena ya kwanza ya jezi takribani 8,000 imemalizika na tayari wamepokea shehena nyingine ya jezi 8,000

Injinia Hersi amewashukuru mashabiki wa Yanga kwa kuchangamkia jezi hizo huku akiwataka waendelee kununua jezi halisi kutoka maduka ya GSM na pale klabu ya Yanga

Amesema shuhena kubwa zaidi ya jezi itaingia karibuni, hivyo mashabiki wasiwe na wasiwasi

"Mwanzo tulileta jezi 8,000 ambazo zilikuja kwa usafiri wa ndege. Shehena nyingine ya jezi 8,000 imewasili , tunawashukuru Wanayanga kwa kuchangamkia jezi hizo, tunawahakikishia shehena kubwa zaidi ya jezi itawasili karibuni," alisema

Kwa wale wa mikoani ambao walikosa jezi za kwanza, GSM wamepanga kusambaza jezi hizi za awamu ya pili nchi nzima

Aidha Hersi amesema, wameanza utaratibu wa kutengeneza jezi zenye majina ya wachezaji ambazo watazitoa kwa oda maalum

"Tutatengeneza jezi zenye majina ya wachezaji wetu, hizi tutazitengeneza kulingana na oda tutakazopewa"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
45m ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’