Happy BirthDay Adeyum

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Sep 2020
Happy BirthDay Adeyum

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mlinzi wa kushoto wa Yanga Adeyum Saleh

Adeyum alitua Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo mapema mwaka huu

Amebahatika kuwa miongoni mwa wachezaji waliobaki kwenye kikosi msimu huu baada ya mabosi wa Yanga kupitisha panga kali

Katika nafasi anayocheza upande wa kushoto, anakabiliwa na ushindani mkali wa namba kutoka kwa Yassin Mustafa ambaye kwa sasa ndio chaguo la kwanza

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake

Happy Birthday Adeyum..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’