Walinzi wawili wa pembeni klabu ya Yanga Kibwana Shomari na Yassin Mustafa wameanza maisha yao ndani ya mabingwa hao wa kihistoria kibabe
Nyota hao wamejihakikishia nafasi kwenye kikosi cha kwanza na kazi wanayofanya uwanjani inaonekana

Tayari wanatabiriwa wanaweza wakajumuishwa kwenye kikosi cha Stars kitakachoshiriki michuano ya CHAN mwishoni mwa mwaka
Nyota hao wameaminiwa, hakika wanaitendea haki imani hiyo wanayanga
Bado wana safari ndefu lakini mwanzo wao mzuri ni ishara ya mambo mazuri kutoka kwao
ADVERTISE HERE