Huku Lamine, kule Nondo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Sep 2020
Huku Lamine, kule Nondo

Leo mabeki visiki Bakari Nondo Mwamnyeto na Lamine Moro wanaanza pamoja kwa mara ya kwanza kwenye mchezo wa mashindano wakitarajiwa kuongoza safu ya ulinzi mchezo dhidi ya Mbeya City utakaopigwa kuanzia saa moja usiku

Lamine alikosa mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons baada ya kuwa nje kwa siku kadhaa kutokana na majeraha

Nondo na Lamine ni pacha ya ulinzi iliyotarajiwa na bila shaka leo ndio mtihani wao wa kwanza

Pale nyuma watasimama na walinzi wa pembeni Kibwana Shomari na Yassin Mustafa huku wakilindwa na kiungo mkabaji Mukoko Tonombe wakati kule langoni yupo Metacha Mnata

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
26m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’