Pichani juu ni Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz akimkabidhi jezi Rais wa GSM, Ghalib Said Mohammed ambaye unaweza kusema ndiye 'Starring' wa shoo yote inayosimamiwa na GSM
Uwekezaji mkubwa aliofanya kupitia kampuni yake, matunda yake yameanza kuonekana
Sasa Wanayanga wana matumaini makubwa kuwa msimu huu utakuwa wa furaha kwao
Wakati GSM akiwezesha, Injinia Hersi Said yeye alisimama imara kuhakikisha yale yote yaliyopangwa yanafanikiwa

Hersi aliwahi kusema GSM hawajawahi kushindwa katika jambo lolote walilolifanya, bila shaka msemo huo umedhihiri
Usajili mzuri, kambi nzuri na sasa jezi nzuri, kinachosubiriwa ni matokeo mazuri tu, lakini kwa hakika GSM 'hawana baya' kwani wametimiza wajibu wao
ADVERTISE HERE