Jezi za klabu ya Yanga kwa ajili ya msimu wa 2020/21 zinazinduliwa rasmi pale Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Mtaa wa Twiga na Jangwani
Wananchi wamejitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi huo ambao unakwenda sambamba na kutambulishwa kwa duka rasmi la Yanga ambalo lipo katika jengo la Makao Makuu
Wengi wamefika kujipatia jezi mpya katika duka hilo, kwani kuanzia leo jezi zitauzwa hapo pamoja na maduka yote ya GSM


Uzi unaopatikana ni grade A ambao unauzwa kwa Tsh 35,000/-

ADVERTISE HERE