Bosi wa soka Angola awashauri Yanga kuhusu Carlinhos

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2020
Bosi wa soka Angola awashauri Yanga kuhusu Carlinhos

Rais wa Chama cha Wachezaji nchini Angola Igor Nascimento ameishauri klabu ya Yanga isiharakishe kumtumia kiungo fundi Carlinhos kwani anahitaji muda aweze kuwa fiti pamoja na kuzoea mazingira ya Tanzania

Carlinhos alijiunga na Yanga mwishoni mwa mwezi uliopita akiwa hajacheza mechi yoyote kwa takribani mezi mitano

Ligi ya Angola ilisitishwa tangu mwezi wa tatu kutokana na changamoto ya ugonjwa wa Corona

Nascimento amesema umuhimu wa Carlinhos ndani ya kikosi cha Yanga utaanza kuonekana pale atakapotumika ndani ya wakati sahihi

"Ligi Kuu ya Angola imesimama kwa takribani miezi sita. Benchi la ufundi linapaswa kumuandaa kwanza awe fiti kabla ya kumtumia. Ni kijana mdogo, anahitaji muda wa kuzoea mazingira pia," alisema

Carlinhos anaendelea na program za mazoezi chini ya kocha Zlatko Krmpotic, pia anapewa mafunzo maalum ya lugha

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’