Tutakomaa na Mbeya City - Farid

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Sep 2020
Tutakomaa na Mbeya City - Farid

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Farid Mussa amewataka mashabiki wa timu hiyo wajitokeze kwa wingi siku ya Jumapili wakati mabingwa hao wa kihistoria watakapocheza na Mbeya City  katika mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Farid aliyetua Yanga dirisha la usajili lililopita akitokea CD Tennerife ya nchini Hispania, amesema watapambana kuhakikisha wanawapa furaha mashabiki wao baada ya kukosa ushindi kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons

"Tutahakikisha tufanya kila lililo ndani ya uwezo wetu ili kupata matokeo chanya kwenye Mchezo wetu dhidi ya Mbeya City Jumapili hii ya tarehe 13/09/202"

"Wapenzi,wanachama na Mashabiki wetu tunawaomba wajitokeze kwa wingi ili kutupa morali wa kufanya vizuri," amesema

Winga huyo ambaye pia hucheza timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), ni miongoni mwa wachezaji walioanza katika kikosi kilichotoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons

Alitoka mwanzoni mwa kipindi cha pili nafasi yake ikichukuliwa na Yacouba Sogne

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
12h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
16h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
17h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
17h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’