Huyu Molinga hajitambui

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Sep 2020
Huyu Molinga hajitambui

Kwa kauli aliyotoa mshambuliaji David Molinga kupitia kurasa yake ya mtandao wa kijamii jana, kwa hakika Yanga haijakosea kumtosa Mcongomani huyo kwani hajitambui

Huyu Molinga Yanga walimvumilia sana mpaka akamaliza msimu lakini nae safari yake ilipaswa kuishia mwezi Januari kama ilivyokuwa kwa wenzake wengi waliokuwa wamesajili na Mwinyi Zahera

Anakebehi kisa Yanga haijashinda mchezo wake wa kwanza? na aendelea kufuatilia na michezo inayofuata

Lakini jambo muhimu Yanga ilifanya uamuzi sahihi wa kuwaondoa wachezaji ambao hawakustahili kuvaa uzi wa Yanga akiwemo huyu Molinga

Alipata bahati sana kuvaa uzi wa Yanga, jambo hili halitakuja kutokea tena...

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
59m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’