Kalenda za mwaka 2018 zilizopambwa kwa kikosi cha Yanga zitauzwa kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi kesho wakati Yanga itakapoivaa Prisons kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 11.
Kalenda hizo zitauzwa kwa bei Tsh 5,000/- uwanjani na pia zinapatikana kwa bei hiyo Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Mtaa wa Twiga, Jangwani jijini Dar es salaam.
Afisa habari wa Yanga Dismas Ten amewaasa wafanyabiashara kuchangamkia 'dili' hilo kwa kuzinunua kalenda hizo kwa wingi ambapo wanaweza kuwauzia wateja wao kwa bei elekezi ya Tsh 6,000/-

ADVERTISE HERE