Yanga imeendelea na utaratibu wa kumtuza nyota wa mchezo wa kikosi chake katika kila mechi wanayocheza
Katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons ambao ulipigwa uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa sare ya bao 1-1, wachezaji Zawadi Mauya, Kibwana Shomari na Michael Sarpong waliteuliwa kuwania tuzo hiyo
Nani alistahili kuwa nyota wa mchezo? kura kwenye ukurasa rasmi wa Yanga, mtandao wa Twitter

Β
ADVERTISE HERE