Zawadi Mauya, huyu ni mwamba hasa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Sep 2020
Zawadi Mauya, huyu ni mwamba hasa

Kiungo Zawadi Mauya ameanza kuonyesha cheche zake kwenye kikosi cha Yanga

Kuachwa nje kwa Mukoko Tonombe kuliwakera mashabiki lakini kazi aliyofanya Mauya, pengine alisatahili kuanza leo

Mauya huyu ni habari nyingine. Kocha Zlatko Krmpotic anapaswa kutafuta namna ili amtumie sambamba na Mukoko Tonombe na Feisal Salum/Carlinhos au Haruna Niyonzima

Ni kiungo jasiri, anakaba na anachezesha timu, hakai na mpira mguuni mwake, mara nyingi akipokea mpira tayari anafahamu wapi aupeleke

Yanga ina kikosi kipana sana, nadhani mashabiki wanapaswa kuwa na subira kwani dalili ya mambo mazuri imeanza kuonekana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’