Klabu ya Aigle Noir imefanya Tamasha la kutambulisha kikosi chake jana kuelekea msimu mpya wa ligi ya Burundi
Uongozi wa klabu hiyo umeeleza kuvutiwa na kile kilichofanywa na Yanga wiki iliyopita katika kilele cha wiki ya Mwananchi
Aigle Noir waliahidi kuandaa Tamasha kama lile kwao na hatimaye jana wametimiza ahadi hiyo, walichokosa ni 'nyomi' ya mashabiki Uwanjani
Β
ADVERTISE HERE