Kikosi cha Yanga leo jioni kimekamilisha maandalizi ya mwisho tayari kwa mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2020/21 dhidi ya Tanzania Prisons
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Mkapa, saa moja jioni
Vijana wako tayari kuwapa furaha mashabiki wao katika mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu




ADVERTISE HERE